Vifaa vya kujifunzia Vinavyorahisisha Uelewa na Kuchangamsha Akili ya Mtoto. Vitabu vya Hadithi, Worksheets za Mazoezi, Flashcards na Toys za Kujifunzia. Watoto Umri wa Miaka 3-10 Wanaosoma Shule za English Medium na kiSwahili. Wanajifunza Phonics(matamshi), Lugha, na Ujuzi wa Kwanza kupitia Kuimba, Hadithi, Michezo, na Upakaji Rangi(painting)